Destined Lwamgasa Fema Club iliandaa siku maalumu ya vipaji kwa
kushirikiana na walimu wa michezo. Vijana walifurahia kuonesha vipaji
vyao na burudani iliwafurahisha sana hadhira yote.Baadhi ya washiriki
waliofanya vizuri walipewa zawadi na walimu waliohusika kama refa bora
na kocha bora wa timu ya mpira wa miguu wa KIKE na wa KIUME nao pia
walipewa zawadi (pipi mojamoja walizifurahia sana).
Elimu na Burudani
No comments:
Post a Comment