Religion

ZABURI 23:1-6 Bwana ndiye mchungaji wangu,sitapungukiwa na kitu....
Kongamano la vijana la Kanisa la AICT Dayosisi ya Geita lililokuwa limebeba ujumbe "KIJANA KUBALI KUCHUNGWA NA MUNGU" lilimalizika vyema. Vijana walipata mafunzo mengi yatakayowasaidia katika maisha yao kama vijana. Kongamano hilo lilianza tar 11/12 hadi tar 17 dec 2017 pale Golden Ridge high school Nyankumbu Geita.

MASOMO YALIYOFUNDISHWA 
1. Maisha ya kijana mkristo-Mch.Joshua Lusato
2.Uchumi wa kijana -Mch.Nyuma Kiyumbi
3.Urafiki ,uchumba hadi ndoa-(Christina Makelele-mama mchungaji kutoka majahida)
4.Mch.Samwel Limbe-Neno kuu (Zab 23)

 Picha ya vijana wakisikiliza kwa makini mfundisho kutoka kwa walimu wao

 Vijana wakishindana katika mchezo wa mpira wa miguu
  Vijana wakishindana katika mchezo wa mpira wa miguu

Kutoka kulia Mchungaji Kiyumbi(aliyesimama wa kwanza kulia),kiongozi wa chalo cha katoro,kijana kutoka Lwamgasa, scola kutoka SAFINA Geita,Jacob kutoka Nyarugusu,M/kiti vijana Dayosisi,na wengine waliochuchumaa kutoka Nyarugusu.Hawa ni baadhi tu ya waliohudhuria na kupiga picha ya pamoja

MKUTANO MKUU WA CHRISTMAS 2017 LWAMGASA
SOMO KUU: YEREMIA 23:5 (chipukizi la Haki)
Mkutano huu ulifana sana, watu walifunguliwa na Mungu alitukuzwa.
Mchungaji wa pastoreti (wa pili kutoka kulia na mke wake),mchungaji kutoka ngara pamoja na mwinjilisti wakiwa katika mkutano
Kwaya ya UPENDO AIC Lwamgasa wakiimba katika mkutano huo

 Kwaya ya AIC MAJENGO kUTOKA sengerema WAKIMTUKUZA MUNGU SIKU HIYO

Kwaya ya AIC MAJENGO wakiwa ndio wageni walikwa katika mkutano huo walijituma sana kumtumikia Mungu,  Mkutano ulipendeza sana.

No comments: