Friday, May 15, 2020

VIPAJI NDANI YA FEMA

Destined Lwamgasa Fema Club iliandaa siku maalumu ya vipaji kwa kushirikiana na walimu wa michezo. Vijana walifurahia kuonesha vipaji vyao na burudani iliwafurahisha sana hadhira yote.Baadhi ya washiriki waliofanya vizuri walipewa zawadi na walimu waliohusika kama refa bora na kocha bora wa timu ya mpira wa miguu wa KIKE na wa KIUME nao pia walipewa zawadi (pipi mojamoja walizifurahia sana).Elimu na Burudani
















Destined Lwamgasa Fema Club


No comments: