ZABURI 23:1-6 Bwana ndiye mchungaji wangu,sitpungukiwa na kitu....
Kongamano la vijana la Kanisa la AICT Dayosisi ya Geita lililokuwa limebeba ujumbe "KIJANA KUBALI KUCHUNGWA NA MUNGU" lilimalizika vyema. Vijana walipata mafunzo mengi yatakayowasaidia katika maisha yao kama vijana. Kongamano hilo lilianza tar 11/12 hadi tar 17 dec 2017 pale Golden Ridge high school Nyankumbu Geita.
MASOMO YALIYOFUNDISHWA
1. Maisha ya kijana mkristo-Mch.Joshua Lusato
2.Uchumi wa kijana -Mch.Nyuma Kiyumbi
3.Urafiki ,uchumba hadi ndoa-(Christina Makelele-mama mchungaji kutoka majahida)
4.Mch.Samwel Limbe-Neno kuu (Zab 23) soma zaidi hapa

No comments:
Post a Comment